Mjasiriamali Digital Podcast on Jamit

#25: Jinsi ya kujenga kujiamini kwenye kamera ili kujenga biashara mtandaoni

Mjasiriamali Digital Podcast

Hosted by

Released

Episode Notes

Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na bado hujaanza kutengeneza video kwaajili ya bidhaa au huduma zako!! Utaendelea kubaki nyuma kwenye mitandao ya kijamii. Katika episode hii ya 25 nimezungumzia njia 5 za kujenga kujiamini kwenye camera ili kujenga biashara mtandaoni. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com

Comments

Production Credits

If you are part of creating this podcast, claim it to add more details.

Subscribers

0

Get The Latest

Sign up for our weekly newsletter and get the latest on everything Mjasiriamali Digital Podcast and more.